Hili ni toleo jipya la Kiswahili kwa Kidato cha Kwanza, Mwongozo wa Kitabu hiki ni cha kwanza katika mfuluiizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili. Maelezo mwafaka kwa mwalimu, mifano zaidi na majibu ya mazoezi ya kila sura ya kitabu cha wanafunzi yametolewa. Ni kitabu ambacho walimu watafurahia kukitumia.