Toleo hili la Kiswahili Mufti 2 linatimiza kikamilifu mahitaji na mada zote za silabasi mpya iliyoanza kutekelezwa shuleni kuanzia 2003.